• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 08, 2020

  KIUNGO FUNDI WA SIMBA SC, CLATOUS CHAMA ALIVYOWASILI JIJINI DAR ES SALAAM JANA KUTOKA KWAO, ZAMBIA

  Kiungo wa Simba SC, Clatous Chama (kulia) akiwa na Mtratibu wa klabu, Abbas Suleiman baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutoka kwao, Zambia jana tayari kujiunga na wenzake kwa maandalizi ya kumalizia msimu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIUNGO FUNDI WA SIMBA SC, CLATOUS CHAMA ALIVYOWASILI JIJINI DAR ES SALAAM JANA KUTOKA KWAO, ZAMBIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top