• HABARI MPYA

    Wednesday, June 10, 2020

    NYOTA WA TANZANIA WANAOCHEZA MOROCCO, NICKSON KIBABAGE NA SIMON MSUVA WAKIZURULA KATIKA MITAA YA JIJI LA CASABLANCA

    Nyota wa Tanzania wanaochezea klabu ya Difaa Hassan El-Jadidi, beki Nickson Kibabage (kushoto) na kiungo mshambuliaji, Simon Msuva (kulia) wakiwa mitaa ya El Jadida Jiji la Casablanca baada ya mazoezi kipindi hiki Ligi ya Morocco bado imesimama kwa sababu ya maambukizi ya virusi vya corona  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NYOTA WA TANZANIA WANAOCHEZA MOROCCO, NICKSON KIBABAGE NA SIMON MSUVA WAKIZURULA KATIKA MITAA YA JIJI LA CASABLANCA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top