• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 15, 2020

  MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, DK ABBAS ALIPOKABIDHIWA JEZI RASMI YA AZAM FC JANA CHAMAZI

  Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' (wa pili kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo Msemaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Hassan Abbas kabla ya mchezo wao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbao FC jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam timu hiyo ikishinda 2-0
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, DK ABBAS ALIPOKABIDHIWA JEZI RASMI YA AZAM FC JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top