• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 15, 2020

  SIMBA SC YAICHAPA TRANSIT CAMP 4-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI LEO ASUBUH UWANJA WA UHURU

  Kiungo wa Simba SC, Ibrahim Ajibu akimiliki mpira katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Transit Camp leo asubuhi Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Simba SC imeshinda 4-0 mabao yake yakitiwa nyavuni na Ajibu dakika ya 16, kiungo Mbrazil Gerson Fraga 'Viera' mawili dakika ya 31 na 45 na Cyprian John dakika ya 86 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAICHAPA TRANSIT CAMP 4-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI LEO ASUBUH UWANJA WA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top