• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 14, 2020

  MPENZI WA SIMBA SC AIBUKA MSHINDI WA KWANZA SHINDANO LA MCHONGO CHAPCHAP NA KUJINYAKULIA GARI KALI LA KISASA

  Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Mhando (kulia) akimkabidhi mfano wa ufunguo mshindi wa kwanza wa shindano la Mchongo Chapchap, Abbas Haji ambaye ni mpenzi na mwanachama wa klabu ya Simba SC baada ya kushinda katika fainali ya shindano hilo iliyofanyika jana studio za Azam TV, Tabata Jijini Dar es Salaam.
  Mkurugenzi wa Azam TV, Yahya Mohamed (kulia) akimkabidhi ufunguo mshindi wa pili wa shindano la Mchongo Chapchap, Warden Jonathan

  Mshindi wa tatu wa shindano la Mchongo Chapchap, Balkuni Mpambaike akifuraha na ufunguo wake baada ya kukabidhiwa gari lake jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MPENZI WA SIMBA SC AIBUKA MSHINDI WA KWANZA SHINDANO LA MCHONGO CHAPCHAP NA KUJINYAKULIA GARI KALI LA KISASA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top