• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 01, 2020

  YANGA SC WALIVYOSAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA KAMPUNI YA LA LIGA KUPITIA KLABU YA SEVILLA

  Mwenyekiti wa Yanga SC, Dk. Mshindo Msolla (kushoto) akisaini mkataba wa ushirikiano na Kampuni ya La Liga kupitia klabu ya Sevilla ya Hispania leo hoteli ya Serena Jijini Dares Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya GSM wanaosimamia zoezi hilo kwa gharama zao, Hersi Said na wanaoshuhudia ni wanasheria wa pande zote mbili (Yanga na GSM).

  Zoezi hilo lilihudhuriwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC WALIVYOSAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA KAMPUNI YA LA LIGA KUPITIA KLABU YA SEVILLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top