• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 27, 2020

  HARRY MAGUIRE AIPELEKA MANCHESTR UNITED NUSU FAINALI KOMBE LA FA

  Harry Maguire akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 118 ikiwalaza wenyeji, Norwich 2-1 katika Robo Fainali ya Kombe la FA England usiku huu Uwanja wa Carrow Road. Odion Ighalo alianza kuifungia Man United dakika ya 51, kabla ya Todd Cantwell kuwasawazishia wenyeji dakika ya 75 na dakika ya 89 wakampoteza Timm Klose aliyetolewa kwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu Odion Ighalo. Man United wanakwenda Nusu Fainali ya Kombe la FA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HARRY MAGUIRE AIPELEKA MANCHESTR UNITED NUSU FAINALI KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top