• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 09, 2020

  MSHAMBULIAJI WA AZAM FC, SHAABAN IDDI CHILUNDA AKIJIFUA KUJIANDAA KUWAKABILI KMC KWENYE MECHI YA KIRAFIKI KESHO CHAMAZI

  Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda akimiliki mpira mazoezini Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam timu yake ikijiandaa kwa mchezo wa kirafiki kesho dhidi ya KMC
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MSHAMBULIAJI WA AZAM FC, SHAABAN IDDI CHILUNDA AKIJIFUA KUJIANDAA KUWAKABILI KMC KWENYE MECHI YA KIRAFIKI KESHO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top