• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 29, 2020

  DANI CEBALLOS AIPELEKA ARSENAL NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND

  Dani Ceballos akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiwalaza Sheffield United 2-1 usiku wa jana Uwanja wa Bramall Lane katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la FA England. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Nicolas Pepe kwa penalti dakika ya 25, wakati la Sheffield United lilifungwa na David McGoldrick dakika ya 87 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DANI CEBALLOS AIPELEKA ARSENAL NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top