• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 19, 2020

  BENZEMA APIGA MBILI REAL MADRID YAICHAPA VALENCIA 3-0 LA LIGA

  Eden Hazard (kushoto) na Luka Modric (kulia) wakimpongeza Karim Benzema baada ya kufunga mabao mawili dakika za 61 na 86 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Valencia kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stefano, bao la pili likifungwa na Marco Asensio. Ushindi huo unaifanya Real Madrid ifikishe pointi 62 baada ya kucheza mechi 29 na sasa na inazidiwa pointi mbili tu na Barcelona wanaoongoza ligi hiyo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BENZEMA APIGA MBILI REAL MADRID YAICHAPA VALENCIA 3-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top