• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 07, 2020

  YANGA SC YAKIONA CHA MOTO KWA KMC, YACHAPWA 3-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI LEO UWANJA WA UHURU

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Ditram Nchimbi akimruka kipa wa KMC, Juma Kaseja kabla ya kukosa bao la wazi leo katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. KMC Ilishinda 3-0 mabao yake yakifungwa na na Sadallah Lipangile, Charles Ilamfya na Hassan Kabunda.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YAKIONA CHA MOTO KWA KMC, YACHAPWA 3-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI LEO UWANJA WA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top