• HABARI MPYA

  Sunday, June 21, 2020

  SIMBA SC IMEICHAPA AFRICAN LYON 5-0 MECHI YA KIRAFIKI LEO ASUBUHI UHURU


  Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Ajibu akiwatoka wachezaji wa African Lyon katika mchezo wa kirafiki leo asubuhi Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Simba imeshinda 5-0, Ajibu akifunga mabao mawili dakika za 25 na 30, mengine Mbrazil Tairone Da Silva dakika ya 28, Muzamil Yassin dakika ya 32 na Mkongo Deo Kanda dakika ya 87 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC IMEICHAPA AFRICAN LYON 5-0 MECHI YA KIRAFIKI LEO ASUBUHI UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top