• HABARI MPYA

  Thursday, June 25, 2020

  REAL MADRID YAREJEA KILELENI BAADA YA KUICHAPA MALLORCA 2-0

  Mshambuliaiji chipukizi, Vinicius Junior akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 19 kabla ya mkongwe, Sergio Ramos kufunga la pili dakika ya 56, Real Madrid ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mallorca kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Estadio Alfredo Di Stefano Jijini Madrid. Kwa ushindi huo, Real Madrid sasa inalingana tena kwa pointi na Barcelona, 68 kila moja baada ya wote kucheza mechi 31, lakini kikosi cha Zinedine Zidane kinakaa juu kikanuni 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAREJEA KILELENI BAADA YA KUICHAPA MALLORCA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top