• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 12, 2020

  SEVILLA YAREJEA NA MOTO LA LIGA, YAICHAPA REAL BETIS 2-0

  Kiungo Fernando Francisco Reges akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Sevilla bao la pili dakika ya 62 akimalizia kazi nzuri ya Lucas Ocampos aliyefunga bao la kwanza kwa penalti dakika ya 56 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Real Betis kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Ramon Sanchez-Pizjuan 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SEVILLA YAREJEA NA MOTO LA LIGA, YAICHAPA REAL BETIS 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top