Wachezaji wa Simba SC, kiungo Mbrazil Gerson Fraga 'Vieira' na mshambuliaji Mnyarwanda, Meddie Kagere wakishirikana kumtoka beki wa Transit Camp katika mchezo wa kirafiki leo asubuhi Uwanja wa Moe Simba Arena uliopo Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Simba SC imeshinda 4-2, mabao yake yakifungwa na Ddeo Kanda, Gerson Fraga, Tairone Santos na Kagere,wakati ya Transit Camp yamefungwa na Hamadi Habibu na Nisile Kisimba
2026 Naismith Basketball Hall of Fame: Meet the latest class
-
The Naismith Memorial Basketball Hall of Fame welcomed its eight-person
2026 class on Saturday night.
10 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment