• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 21, 2020

  REFA NASSOR HAMDOUN KAZINI KAGERA NA USHIRIKA KAITABA 1993

  Mgeni rasmi, Mkuu wa Jeshi la Magereza mkoani Kagera, William Mtunguja akiwasabahi marefa, Salum Chama wa Kagera (wa pili kushoto), Nassor Hamdoun wa Kigoma (kulia) na James Kashaija wa Kagera (katikati yao) kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kati ya wenyeji, Kagera Stars na Ushirika ya Moshi mwaka 1993 Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Mwingine kushoto ni Nahodha wa Ushirika, Willy Martin.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REFA NASSOR HAMDOUN KAZINI KAGERA NA USHIRIKA KAITABA 1993 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top