• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 12, 2020

  KOCHA LUC EYMAEL NA MOLINGA WAENDA SHINYANGA KUUNGANA NA YANGA KWA AJILI YA MECHI NA MWADUI FC KESHO

  Kocha wa Yanga SC, Mbelgiji Luc Eymael (kushoto) akiwa na mshambuliaji Mkongo, David Molinga 'Falcao' (kulia) Uwanja wa Ndege wa Mwanza baada ya kuwasili wakitokea Dar es Salaam tayari kuunganisha usafiri wa barabara kwenda Shinyanga kuungana na timu kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mwadui FC
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOCHA LUC EYMAEL NA MOLINGA WAENDA SHINYANGA KUUNGANA NA YANGA KWA AJILI YA MECHI NA MWADUI FC KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top