• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 20, 2020

  BARCA YAPUNGUZWA KASI LA LIGA, YATOA SARE 0-0 NA SEVILLA

  Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akimtoka beki wa Sevilla, Diego Carlos katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Kwa matokeo hayo, Barca inafikisha pointi 65 baada ya kucheza mechi 30, ikiizidi pointi tatu Real Madrid ambayo hata hivyo ina mchezo mmoja mkononi 
     
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCA YAPUNGUZWA KASI LA LIGA, YATOA SARE 0-0 NA SEVILLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top