• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 22, 2020

  SIMBA SC WAWASILI MBEYA AJILI YA MECHI MBILI MFULULIZO DHIDI YA MBEYA CITY NA TANZANIA PRISONS

  Nahodha wa Simba John Raphael Bocco baada ya kikosi cha timu hiyo kuwasili Jijini Mbeya kwa ndege mapema leo tayari kwa mechi zake mbili mfululizo za Ligi Kuu dhidi ya wenyeji, Mbeya City Jumatano na Tanzania Prisons Jumapili Uwanja wa Sokoine. 
  Kiungo Jonas Mkude ameongozana na timu kwa ajili ya mechi hizo mbili mfululizo za Ligi Kuu 
  Kikosi cha Simba kikiwa Uwanja wa Ndege wa Mbeya baada ya kuwasili kwa ajili ya mechi dhidi ya wenyeji 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAWASILI MBEYA AJILI YA MECHI MBILI MFULULIZO DHIDI YA MBEYA CITY NA TANZANIA PRISONS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top