• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 10, 2020

  MKURUGENZI WA UFUNDI TFF AWAKABIDHI MIPIRA TIMU YA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO NCHINI, TASWA FC

  Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Oscar Milambo (kushoto) akimkabidhi mipira Mwenyekiti wa timu ya Waandishi wa Habari za Michezo nchini, TASWA FC, Majuto Omari leo makao makuu ya shirikisho hilo, Ilala Jijin Dar es Salaam. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MKURUGENZI WA UFUNDI TFF AWAKABIDHI MIPIRA TIMU YA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO NCHINI, TASWA FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top