Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 10 na 37 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Viktoria Plzen kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya na kufikisha mabao 200 ya kuifungia klabu hiyo. Mabao mengine ya Real Madrid yamefungwa na Casemiro dakika ya 23, Gareth Bale dakika ya 40 na Toni Kroos dakika ya 67 Uwanja wa Doosan Arena mjini Plzen PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment