David Silva akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao yote dakika za 10 na 50 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Stoke City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Bet365. Man City inafikisha pointi 81 baada ya kuceza mechi 30, ikifuatiwa kwa mbali kabisa na Manchester United yenye pointi 65 za mechi 30, maana yake timu ya kocha Pep Guardiola inahitahji kushinda mechi mbili zaidi kujihakikishia ubingwa wa England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Detroit Pistons coach introduces bizarre new rule after team's historic
losing streak last season
-
Newly-hired Pistons coach J.B. Bickerstaff has implemented an unusual rule
as he looks to get the struggling franchise on a winning path.
14 minutes ago
0 comments:
Post a Comment