Mshambuliaji majeruhi wa Paris Saint Germain, Neymar ameposti picha hii kufuatia kifo cha mwanasayansi Stephen Hawking aliyefariki dunia jana akiwa ana umri wa miaka 76 baada ya kutembelea kiti cha walemavu tangu akiwa ana umri wa miaka 22 kama salamu zake za rambirambi, lakini Mbrazil huyo amelaumiwa vikali kwa kujinafanisha na Muingereza huyo aliyepitia kipindi kigumu cha maisha yake, wakati yeye ni majeruhi wa muda mfupi tu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Newcastle's Hall keen on Man Utd switch - Friday's gossip
-
Manchester United keen on wantaway Newcastle left-back Lewis Hall, Spanish
giants close in on Bernardo Silva, Real Madrid target Manchester City's
Josko Gv...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment