Mshambuliaji majeruhi Mbrazil, Neymar akifanya mazoezi gym chini ya usimamizi wa Daktari wake binafsi. Neymar yuko nje kwa miezi mitatu kufuatia kufanyiwa upasuaji wa kifundo cha mguu baada ya kuumia kwenye mechi dhidi ya Marseille mwezi uliopita na sasa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 anapambana ili acheze Fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi, Brazil ikifungua dimba na Uswisi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
10 best midfielders at the 2026 World Cup
-
Goal-scoring will never go out of fashion, and they’ve always said that
“defense wins championships,” but soccer continues to revolve around the
engine r...
9 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment