Mshambuliaji wa kimataifa wa England, Harry Kane akitembelea fimbo maalum za walemavu baada ya kuumia kifundo cha mguu wa kulia, maumivu ambayo yatamuweka nje kwa wiki sita. Kane aliumia Jumapili ya wiki iliyopita baada ya kugongana na kipa Asmir Begovic katika mchezo wa Ligi Kuu ya England, Spurs wakishinda 4-1 dhidi ya Bournemouth
10 best midfielders at the 2026 World Cup
-
Goal-scoring will never go out of fashion, and they’ve always said that
“defense wins championships,” but soccer continues to revolve around the
engine r...
1 minute ago



.png)
0 comments:
Post a Comment