Danny Welbeck (kulia) akishangilia na Aaron Ramsey (kushoto) baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za39 kwa penalti na 86 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya AC Milan kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates, London. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Granit Xhaka dakika ya 71 na la Milan lilifungwa na Hakan Calhanoglu dakika ya 35. Arsenal inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-1 baada ya kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Milan PICHA ZAIDI GONGA HAPA
10 best midfielders at the 2026 World Cup
-
Goal-scoring will never go out of fashion, and they’ve always said that
“defense wins championships,” but soccer continues to revolve around the
engine r...
12 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment