Mshambuliaji Mbelgiji, Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la mwisho dakika ya 72 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Stoke City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford usiku wa Jumatatu. Mabao mengine ya timu ya kocha Mreno, Jose Mourinho yamefungwa na Antonio Valencia dakika ya tisa na Anthony Martial dakika ya 38 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Michael Owen says leaders Arsenal are NOT the best team in the Premier
League and names rivals he believes are better - 'and it's not even close'!
-
Former Ballon d'Or winner Owen, 46, has named who he thinks are the best
team in the Premier League. But, despite them being top of the table, he
has dismi...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment