Kocha mpya mtarajiwa wa Simba SC, Mfaransa Pierre Lechantre (kulia) akiwa na msaidizi wake, kocha wa viungo, Mmorocco Mohammed Aymen Hbibi (katikati) wakati wa mchezo wa timu hiyo dhidi ya Singida United jioni ya leo Uwanja wa Taifa.
Simba imemkaribisha Mfaransa huyo kwa ushindi wa 4-0 kwenye mechi hiyo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
Caitlin Clark questioned over nine-day silence on WNBA punch scandal after
finally speaking out: 'A lot of prep time'
-
The WNBA became embroiled in fierce controversy yet again last week after
Clark - arguably the face of the league - was punched in the throat by
Phoenix Me...
2 hours ago


.png)
0 comments:
Post a Comment