Nyota Mnigeria, Kelechi Iheanacho (kulia) akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili Leicester City dakika za 43 na 77 ikishinda 2-0 dhidi ya Fleetwood ya Daraja la Kwanza katika mchezo wa Kombe la FA jana Uwanja wa King Power, Leicester. Hata hivyo, kwa bao la pili ilibidi kwanza refa Jon Moss athibitishiwe kupitia teknolojia ya picha za video (VAR) kwamba Iheanacho hakuwa ameotea baada ya awali kukataliwa akidhaniwa alikuwa ameotea. Iheanacho anaweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza England bao lake kuhalalishwa na mfumo wa VAR baada ya awali kukataliwa kwa kudhaniwa ameotea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
James doubtful for Mexico tie but Quansah fit again
-
Reece James misses training on the eve of England's World Cup last-16 tie
against Mexico but Jarell Quansah is available again.
7 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment