Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude (kushoto) akimkabidhi mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa (kulia) mfano wa hundi ya Sh. Milioni 1 baada ya kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzaania Bara mwezi Oktoba. Tukio hilo limefanyika asubuhi ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kabla ya mazoezi ya Yanga
Worcestershire spin bowler Baker dies aged 20
-
Worcestershire announce the death of left-arm spin bowler Josh Baker at the
age of 20.
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment