Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakifanya mazoezi leo Uwanja wa Kituo cha Michezo kwa Vijana cha Jakaya Kikwete (JKM Youth Centre), eneo la Gerezani, zamani Kidongo Chekundu, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Benin Novemba 11, mwaka huu
Mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajib akimpita winga wa Difaa Hassan El Jadida ya Morocco, Simon Msuva
Yohana Oscar Nkomola (kulia) aliyepandishwa kutoka timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys akimiliki mpira
Wachezaji wakifanya mazoezi leo JKM Youth Centre
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga (wa pili kushoto) akijadiliana na wasaidizi wake, Patrick Mwangata na Fulgence Novatus (kulia) na Amy Ninje (kushoto). Taifa Stars inatarajiwa kuondoka nchini Alhamisi.
World Cup: Everything to know about France vs Spain semi-final match
-
France and Spain will renew one of football's fiercest rivalries when they
battle for a place in the final of the 2026 FIFA World Cup.
The post World Cup...
1 minute ago


.png)
0 comments:
Post a Comment