• HABARI MPYA

    Tuesday, November 07, 2017

    NEYMAR AKIJIFUA NA BRAZIL PARIS KUJIANDAA KUIVAA JAPAN

    Nyota wa Paris Saint-GermainNeymar (kushoto) akifurahia wakati wa mazoezi ya timu yao ya taifa, Brazil na mchezaji mwenzake, Marquinhos mjini Paris jana kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Japan Ijumaa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NEYMAR AKIJIFUA NA BRAZIL PARIS KUJIANDAA KUIVAA JAPAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top