BASI JIPYA LA MTIBWA TAYARI KWA SAFARI ZA UBINGWA WA LIGI KUU
Basi jipya la Mtibwa Sugar likiwa tayari kwa matumizi ya timu. Basi hilo lilikuwa linatumika kwa matumizi mengine katika kampuni ya Superdoll, wamiliki wa Mtibwa Sugar kabla ya sasa kuhamishiwa kwa timu, baada ya basi walilokuwa wanatumia kuharibika.
0 comments:
Post a Comment