Mshambuliaji wa Argentina, Carlos Tevez akiwa amezungukwa na umati wa watu baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Shanghai Pudong, China jana tayari kujiunga na klabu yake mpya, Shanghai Shenhua ambako atakuwa akilipwa zaidi ya wachezaji wote duniani, Pauni 615,000 kwa wiki. Mchezaji huyo wa zamani wa West Ham, Manchester United na Manchester City kwa sasa anawazidi hadi Muargentina mwenzake, Lionel Messi na Mreno Cristiano Ronaldo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment