Mshambuliaji wa Liverpool, Daniel Sturridge akiifungia bao la kwanza timu yake kwa kichwa dakika ya 19 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Sunderland Uwanja wa Light usiku wa jana. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Sadio Mane dakika ya 72, wakati ya Sunderland yote yalifungwa na Jermain Defoe kwa penalti dakika ya 25 na 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment