Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akifumua shuti kuifungia timu yake bao la nne na la tatu kwake katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya West Brom jioni ya leo Uwanja wa White Hart Lane, London. Spurs imeshinda 4-0, Kane akifunga dakika za 12, 78 na 82, wakati lingine beki Gareth McAuley alijifunga dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment