Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akipasua katikati ya mabeki wa Athletic Bilbao katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa San Mames. Bilbao ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Aritz Aduriz dakika ya 25 na Inaki Williams dakika ya 28 huku la Barca likifungwa na Messi dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment