Kocha wa Barcelona, Luis Enrique akionyesha ishara jana Uwanja wa Jose Rico Perez mjini Alicante wakati wa mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora Kombe la Mfalme Hispania wakilazimishwa sare ya 1-1 na Hercules ya Daraja la Pili, maarufu kama Segunda B. Bao Barca iliyocheza bila nyota wake Lionel Messi, Neymar na Luis Suarez lilifungwa na Carles Alena dakika ya 58 baada ya David Mainz kutangulia kuwafungia wenyeji dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment