• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 31, 2016

  ISLAM SLIMANI AING'ARISHA LEICESTER CITY

  Mshambuliaji Islam Slimani akiruka kuifungia kwa kichwa Leicester City dakika ya 20 bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya West Ham United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Kings Power PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ISLAM SLIMANI AING'ARISHA LEICESTER CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top