• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 29, 2016

  SPURS YAWAKUNG'UTA SOUTHAMPTON 4-1 ENGLAND

  Christian Eriksen akimrukia Harry Kane kumpongeza baada ya kuifungia bao la pili Tottenham dakika ya 52 kabla ya kukosa penalti dakika ya 58 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Southampton usiku wa jana Uwanja wa St. Mary's kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Spurs yalifungwa na Dele Alli mawili dakika za 19 na 87 na 85' Heung-Min Son dakika ya 85 wakati la wenyeji lilifungwa na Virgil van Dijk dakika ya pili tu ya mchezo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SPURS YAWAKUNG'UTA SOUTHAMPTON 4-1 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top