• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 26, 2016

  MAN UNITED YAFANYA BALAA, YAITANDIKA SUNDERLAND 3-1

  Henrikh Mkhitaryan akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la tatu dakika ya 86 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Sunderland Uwanja wa Old Trafford leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya United yamefunga na Daley Blind dakika ya 39 na Zlatan-Ibrahimovic dakika ya 82 wakati la Sunderland limefungwa na Fabio Borini dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAFANYA BALAA, YAITANDIKA SUNDERLAND 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top