YANGA WAREJEA KWA KISHINDO MAZOEZINI LEO BAADA YA MGOMO WA SAA 48
Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam baada ya mgomo wa siku mbili wakishinikiza kulipwa mishahara yao ya Novemba.
Wachezaji wa Yanga wamesitisha mgomo baada ya kuahidiwa kulipwa kabla ya Ijumaa
Juma Mahadhi (kulia) akimiliki mpira pembeni ya Pato Ngonyani
Geoffrey Mwashiuya akipiga mpira mbele ya Justin Zulu
Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' (kushoto) akitafuta maarifa ya kuupitisha mpira mbele ya Hassan Kessy
Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi ya viungo
Mkurugenzi wa Ufundi, Hans van der Pluijm akitazama simu yake
Wachezaji wa Yanga wamefanya mazoezi mengi leo kabla ya kuingia kwenye mchezo wa Ijumaa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya African Lyon
Nyuma kulia ni kocha wa mazoezi ya viungo Noel Mwandila 'akiwafua' vijana
Hapa ni kikosi kizima, makochja na wachezaji wachezaji wa Yanga
0 comments:
Post a Comment