• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 24, 2016

  OFISA HUYU WA TFF ALIKUWA 'ANAMFUNGA KAMBA' GANI HAPA WAZIRI MWIGULU YANGA DAMU?

  Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimsikiliza kwa makini Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas (kulia) jana kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Yanga na African Lyon Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam ambao ulimalizika kwa sare ya 1-1

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: OFISA HUYU WA TFF ALIKUWA 'ANAMFUNGA KAMBA' GANI HAPA WAZIRI MWIGULU YANGA DAMU? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top