• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 31, 2016

  RONDA ROUSEY AJUTA KURUDI ULINGONI, ACHAPWA VIBAYA NA AMANDA UFC

  Ronda Rousey (kushoto) akiugulia maumivu baada ya pigo la Amanda Nunes katika mchezo wa UFC jana. Amanda alitumia sekunde 48 tu kummaliza Ronda aliyerejea ulingoni jana baada ya miezi 13 mjini Las Vegas 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONDA ROUSEY AJUTA KURUDI ULINGONI, ACHAPWA VIBAYA NA AMANDA UFC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top