• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 31, 2016

  POGBA AIFUNGIA LA USHINDI MAN UNITED YAUA 2-1 ENGLAND

  Paul Pogba akiwaongoza wachezaji wenzake wa Manchester United kushangilia baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 86 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Middlesbrough kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Bao lingine la United lilifungwa na Anthony Martial dakika ya 85 kufuatia Grant Leadbitter kuwafungia wageni bao la kuongoza dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: POGBA AIFUNGIA LA USHINDI MAN UNITED YAUA 2-1 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top