• HABARI MPYA

    Thursday, December 29, 2016

    SASA RASMI, TEVEZ NDIYE MCHEZAJI ANAYELIPWA ZAIDI DUNIANI

    Klabu ya Shenhua imemtambulisha rasmi Carlos Tevez kuwa mchezaji wake mpya kwa mshahara wa Pauni 615,000 kwa wiki, ambao ni mkubwa kuliko anaolipwa mchezaji yeyote mwingine duniani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SASA RASMI, TEVEZ NDIYE MCHEZAJI ANAYELIPWA ZAIDI DUNIANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top