• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 26, 2016

  CHELSEA HAIKAMATIKI ENGLAND, YAIPIGA 3-0 BOURNEMOUTH

  Eden Hazard akipongezwa na wachezaji wenzake wa Chelsea baada ya kuifungia bao la pili timu hiyo kwa penalti dakika ya 49 kufuatia yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Simon Francis katika ushindi wa 3-0 dhidi ya AFC -Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Pedro dakika ya 24 na Steve Cook dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA HAIKAMATIKI ENGLAND, YAIPIGA 3-0 BOURNEMOUTH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top