• HABARI MPYA

  Jumanne, Desemba 20, 2016

  AZAM WALIPOJIFUA KWA MARA YA MWISHO LEO CHAMAZI KABLA YA KUIFUATA MAJI MAJI KESHO

  Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ akimiliki mpira pembeni ya winga Enock Atta Agyei kutoka Ghana wakati wa mazoezi ya timu hiyo leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Maji Maji Jumamosi wiki hii mjini Songea
  Beki wa kati wa Azam FC, Yakubu Mohammed, akimzuia winga Enock Atta Agyei
  Beki wa kati wa Azam FC, Aggrey Morris, akiruka juu kwenye mazoezi ya viungo ya kuruka koni.
  Wachezaji wa Azam FC wakifanya mazoezi tofauti ya viungo
  Kipa wa Azam FC, Mwadini Ally, akiruka juu wakati wa mazoezi ya magolipa chini ya Kocha wa Makipa, Jose Garcia
  Kikosi cha Azam kinatarajiwa kuanza safari ya Songea mkoani Ruvuma Alfajiri ya kesho 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM WALIPOJIFUA KWA MARA YA MWISHO LEO CHAMAZI KABLA YA KUIFUATA MAJI MAJI KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top