• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 29, 2016

  YANGA NA NDANDA KATIKA PICHA JANA UHURU

  Winga wa Yanga, Simon Msuva akiruka juu kujaribu bila mafanikio kufunga baada ya krosi nzuri ya Juma Abdul, nyuma kabisa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 4-0 
  Beki Mtogo wa Yanga, Vincent Bossou (kushoto) akiwania mpira wa juu na mshambuliaji wa Ndanda, Riffat Khamis 
  Winga wa Yanga, Emmanuel Martin (kulia) akimpiga chenga beki wa Ndanda, Hemed Khoja 
  Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Ndanda  
  Simon Msuva (kushoto) akitafutaa maarifa ya kumpita beki wa Ndanda, Paul Ngalema
  Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akiuvutia kasi mpira
  Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima katikati ya wachezaji wa Ndanda
  Beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali akimiliki mpira mbele beki wa Ndanda, Bakari Mtama
  Mbunge wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (kushoto) alikuwepo Uwanja wa Uhuru jana kuishuhudia Yanga yake ikifanya mauwaji
  Mwwnyekiti wa zamani wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Isaac Chanji (kushoto) akiwa na Mtendaji Mkuu, Mfaransa Jerome Dufourg jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA NA NDANDA KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top