• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 24, 2016

  YANGA YAMUAGA KWA HESHIMA MBUYU TWITE, YAMPA JEZI MAALUM NA PICHA YA KUMBUKUMBU

  Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh (kushoto) akimkabidhi aliyekuwa beki wa timu hiyo, Mbuyu Twite, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), picha maalum na jezi iliyosainiwa na wachezaji wenzake na viongozi wa timu hiyo kufuatia kustaafu soka baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka minne tangu ajiunge nayo mwaka 2012 kutoka APR ya Rwanda alikokuwa anacheza kwa mkopo kutoka FC Lupopo ya kwao. Makabidhiano hayo yalifanyika juzi makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam
  Hapa Mbuyu Twite akiwa na Mkurugenzi wa Ufundi, Hans van der Pluijm

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA YAMUAGA KWA HESHIMA MBUYU TWITE, YAMPA JEZI MAALUM NA PICHA YA KUMBUKUMBU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top